Ufafanuzi wa burubuku katika Kiswahili

burubuku

nominoPlural burubuku

  • 1

    sarafu ya madini ambayo imeandikwa kwa Kiarabu majina ya miji na tarehe, iliyotumika Mombasa, Amu na Pate mnamo karne ya kumi na saba.

Matamshi

burubuku

/burubuku/