Ufafanuzi wa burudai katika Kiswahili

burudai

nominoPlural burudai

Kidini
  • 1

    Kidini
    jina la kasida mojawapo ya kumsifu Mtume Muhammad (s.a.w.) na kueleza maisha yake.

    Maulidi

Asili

Kar

Matamshi

burudai

/burudaji/