Ufafanuzi wa burudi katika Kiswahili

burudi

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa makini.

    tulia, tabaradi, makinika, stakiri, poa, tua

Matamshi

burudi

/burudi/