Ufafanuzi msingi wa buruji katika Kiswahili

: buruji1buruji2buruji3buruji4buruji5buruji6

buruji1

nominoPlural buruji

 • 1

  boma la ngome lenye kuta zilizo na mapengo kwa juu.

  boma, ngome, sera

Asili

Kar

Matamshi

buruji

/buruʄi/

Ufafanuzi msingi wa buruji katika Kiswahili

: buruji1buruji2buruji3buruji4buruji5buruji6

buruji2

nominoPlural buruji

Asili

Kar

Matamshi

buruji

/buruʄi/

Ufafanuzi msingi wa buruji katika Kiswahili

: buruji1buruji2buruji3buruji4buruji5buruji6

buruji3

nominoPlural buruji

 • 1

  tarumbeta dogo.

Asili

Kar

Matamshi

buruji

/buruʄi/

Ufafanuzi msingi wa buruji katika Kiswahili

: buruji1buruji2buruji3buruji4buruji5buruji6

buruji4

nominoPlural buruji

 • 1

  njia au mashukio ya nyota.

Asili

Kar

Matamshi

buruji

/buruʄi/

Ufafanuzi msingi wa buruji katika Kiswahili

: buruji1buruji2buruji3buruji4buruji5buruji6

buruji5

nominoPlural buruji

 • 1

  nafasi zilizoachwa chini ya ua uliojengwa kwenye maji kidogo na ambayo nyuma yake huwekwa mitego ya samaki.

Asili

Kar

Matamshi

buruji

/buruʄi/

Ufafanuzi msingi wa buruji katika Kiswahili

: buruji1buruji2buruji3buruji4buruji5buruji6

buruji6

nominoPlural buruji

 • 1

  mpiga tarumbeta.

Matamshi

buruji

/buruʄi/