Ufafanuzi wa buruma katika Kiswahili

buruma

nominoPlural maburuma

  • 1

    kiko kikubwa chenye maji cha kuvutia tumbaku.

    hoko, kikokoro

Asili

Kar

Matamshi

buruma

/buruma/