Ufafanuzi wa bushashi katika Kiswahili

bushashi

nominoPlural bushashi

  • 1

    karatasi nyeupe nyembamba.

  • 2

    kitambaa cheupe chembamba na chepesi kinachotumika kushonea kanzu au kujiambika begani kama kashida.

    sheshi

Asili

Kar

Matamshi

bushashi

/bu∫a∫i/