Ufafanuzi wa bushati katika Kiswahili

bushati

nomino

  • 1

    shati lenye mikono mifupi au mirefu lililokatwa mviringo chini ambalo huvaliwa pasipo kuchomekwa surualini.

Matamshi

bushati

/bu∫ati/