Ufafanuzi wa busu katika Kiswahili

busu

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    weka midomo kwenye kitu fulani ili kuonyesha heshima au mapenzi na kitu hicho.

    ‘Busu mkono’

  • 2

    piga kisi.

    kisi, donea

Asili

Kaj

Matamshi

busu

/busu/