Ufafanuzi wa busuri katika Kiswahili

busuri

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kishairi kuwa na busara.

  • 2

    tahadhari, angalia

Asili

Kar

Matamshi

busuri

/busuri/