Ufafanuzi wa bwabwaja katika Kiswahili

bwabwaja

kitenzi elekezi

  • 1

    sema maneno bila ya maana yoyote.

    payuka, ropoka, boboka, bubujika, payapaya, dakua, hambarara, bwata

  • 2

    kojoa kitandani.

Matamshi

bwabwaja

/bwabwaʄa/