Ufafanuzi wa bwaga katika Kiswahili

bwaga

kitenzi elekezi

 • 1

  pata ushindi hasa kwenye kandanda.

  ‘Malindi iliibwaga Miembeni 58–44 juzi’
  funga

 • 2

  angusha kitu, agh. kwa nguvu.

  ‘Bwaga mzigo’
  bwata

 • 3

  angua.

  ‘Bwaga nazi’