Ufafanuzi wa bwalo katika Kiswahili

bwalo

nominoPlural mabwalo

  • 1

    ukumbi mkubwa unaotumiwa na wanafunzi au askari kulia chakula.

    ‘Bwalo la polisi’
    mesi

Matamshi

bwalo

/bwalɔ/