Ufafanuzi wa bwamkubwa katika Kiswahili

bwamkubwa

nomino

  • 1

    mwanamume mzee.

  • 2

    jina la heshima kwa baba mzazi.

Matamshi

bwamkubwa

/bwamkubwa/