Ufafanuzi msingi wa bwana katika Kiswahili

: bwana1Bwana2

bwana1

nominoPlural mabwana

 • 1

  jina la heshima la mwanamume.

  ‘Bwana mkubwa’
  ‘Bwana mdogo’
  sayidi, hababi, maulana

 • 2

  ‘Bwana harusi’
  mume

 • 3

  mwanamume ambaye ni mwajiri wa mtu mwingine.

  mwajiri

Matamshi

bwana

/bwana/

Ufafanuzi msingi wa bwana katika Kiswahili

: bwana1Bwana2

Bwana2

nominoPlural Bwana

Kidini

Matamshi

Bwana

/bwana/