Ufafanuzi wa bwanyenye katika Kiswahili

bwanyenye

nominoPlural mabwanyenye

 • 1

  mtu mwenye mali nyingi.

  mwinyi

 • 2

  kabaila yeyote wa mjini.

 • 3

  mtu anayependa kustarehe bila ya kufanya kazi.

 • 4

  mtu aliye na kitambi kikubwa au tumbo kubwa lililoshuka.

Matamshi

bwanyenye

/bwaɲɛɲɛ/