Ufafanuzi wa bweka katika Kiswahili

bweka

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa sauti ya mbwa anapoona kitu.

Matamshi

bweka

/bwɛka/