Ufafanuzi wa bwende katika Kiswahili

bwende

nominoPlural mabwende

  • 1

    kitambaa kikuukuu kivaliwacho kiunoni wakati wa kazi shambani.

    demu

Matamshi

bwende

/bwɛndɛ/