Ufafanuzi msingi wa bweta katika Kiswahili

: bweta1bweta2

bweta1

nominoPlural mabweta

  • 1

    kisanduku kidogo cha kutilia vitu; kasha dogo.

    kijaluba, kasha

Asili

Kre

Matamshi

bweta

/bwɛta/

Ufafanuzi msingi wa bweta katika Kiswahili

: bweta1bweta2

bweta2

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    shusha pumzi.

    tweta, hema

Matamshi

bweta

/bwɛta/