Ufafanuzi msingi wa bwia katika Kiswahili

: bwia1bwia2

bwia1

kitenzi elekezi~ika, ~isha, ~iwa, ~lia, ~ana, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa, ~wa

  • 1

    bwakia kitu cha ungaunga kama bwimbwi au mchele.

    bugia, akia

Matamshi

bwia

/bwija/

Ufafanuzi msingi wa bwia katika Kiswahili

: bwia1bwia2

bwia2

kitenzi elekezi~ika, ~isha, ~iwa, ~lia, ~ana, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa, ~wa

Matamshi

bwia

/bwija/