Ufafanuzi wa bwiko katika Kiswahili

bwiko

nomino

  • 1

    ugonjwa wa vidole vya mkono unaovifanya kukunjana na kukakamaa visinyoke.

Matamshi

bwiko

/bwikɔ/