Ufafanuzi wa bwimbwi katika Kiswahili

bwimbwi

nominoPlural mabwimbwi

  • 1

    unga wa bisi uliotwangwa pamoja na sukari au asali.

    bumbwi

Matamshi

bwimbwi

/bwimbwi/