Ufafanuzi msingi wa cha katika Kiswahili

: cha1cha2

cha1

kitenzi elekezi~elea, ~ewa, ~wa

 • 1

  hofu, ogopa, agh. Mwenyezi Mungu.

  ‘Kumcha Mwenyezi Mungu ogopa kwenda kinyume na amri ya Mwenyezi Mungu’
  abudu

Matamshi

cha

/t∫a/

Ufafanuzi msingi wa cha katika Kiswahili

: cha1cha2

cha2

kitenzi sielekezi~elea, ~ewa, ~wa

 • 1

  kuchomoza kwa jua.

  ‘Kumekucha’
  pambazuka

Matamshi

cha

/t∫a/