Ufafanuzi wa chachafya katika Kiswahili

chachafya

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    tia mtu msukosuko.

Matamshi

chachafya

/t∫at∫afja/