Ufafanuzi wa chachamaa katika Kiswahili

chachamaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kaa imara; ongeza bidii.

    shikilia

Matamshi

chachamaa

/t∫at∫ama:/