Ufafanuzi wa chachamua katika Kiswahili

chachamua

kitenzi sielekezi

  • 1

    pandisha mori; titimua kilichojituliza.

Matamshi

chachamua

/t∫at∫amuwa/