Ufafanuzi wa chachandu katika Kiswahili

chachandu

nomino

  • 1

    shanga zinazovaliwa na mwanamke kiunoni.

  • 2

    mchemsho wa pweza.

  • 3

    kachumbari

Matamshi

chachandu

/t∫at∫andu/