Ufafanuzi wa chachatika katika Kiswahili

chachatika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    sisimka damu au mwili.

  • 2

    fanya sauti ya mafuta yanayochemka.

  • 3

    chacharika

Matamshi

chachatika

/t∫at∫atika/