Ufafanuzi wa chachisha katika Kiswahili

chachisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu kipate chachu.

    asidisha

Matamshi

chachisha

/t∫at∫i∫a/