Ufafanuzi msingi wa chachu katika Kiswahili

: chachu1chachu2

chachu1

nominoPlural chachu

 • 1

  kitu kikali kinachochachisha au kubadili au kuongeza ukali k.v. unga, uji au pombe.

  hamira

 • 2

  kitu au kitendo kinachokuwa kichocheo cha kufanyika kwa jambo fulani.

Matamshi

chachu

/t∫at∫u/

Ufafanuzi msingi wa chachu katika Kiswahili

: chachu1chachu2

chachu2

kivumishi

 • 1

  enye ugwadu au ukakasi.

  ‘Embe chachu’

Matamshi

chachu

/t∫at∫u/