Ufafanuzi wa chachua katika Kiswahili

chachua

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu kiwe na uchachu au ukali; fanya kitu kioze.

Matamshi

chachua

/t∫at∫uwa/