Ufafanuzi wa chafua katika Kiswahili

chafua

kitenzi elekezi

 • 1

  fanya kuwa chafu; tia takataka.

  haribu, korofisha

 • 2

  tawanya ovyo.

  vuruga

 • 3

  tia hasira.

  kasirisha