Ufafanuzi msingi wa chafuo katika Kiswahili

: chafuo1chafuo2

chafuo1

nominoPlural chafuo

  • 1

    tendo la kuchafua au kuvuruga mambo.

Matamshi

chafuo

/t∫afuwɔ/

Ufafanuzi msingi wa chafuo katika Kiswahili

: chafuo1chafuo2

chafuo2

nominoPlural chafuo

  • 1

    nzi mkubwa anayefyonza damu ya mnyama au binadamu na kuambukiza ugonjwa wa malale.

    mbung’o, pange, ndorobo

Matamshi

chafuo

/t∫afuwɔ/