Ufafanuzi wa chafya katika Kiswahili

chafya

nominoPlural chafya

  • 1

    hewa itokayo puani au mdomoni kwa ghafla na bila kukusudiwa, agh. husababishwa na vumbi au mafua.

Matamshi

chafya

/t∫afja/