Ufafanuzi wa chagua katika Kiswahili

chagua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~lisha/za, ~liwa

 • 1

  teua kitu chenye sifa fulani kati ya vingine.

 • 2

  pendelea mtu au watu miongoni mwa watu kadha wa kadha; piga kura.

  teua, chuza

 • 3

  ondoa takataka k.v. katika nafaka.

  ‘Chagua mchele’
  chekecha

Matamshi

chagua

/t∫aguwa/