nominoPlural chai
- 1
kinywaji kinachotengenezwa kwa kutia majani ya mchai kwenye maji yanayochemka.
‘Chai ya mkandaa’‘Chai ya rangi, chai bila maziwa’ - 2
majani ya mchai.
nominoPlural chai
- 1‘Toa chai’‘Pata chai’
Asili
Khi
kinywaji kinachotengenezwa kwa kutia majani ya mchai kwenye maji yanayochemka.
majani ya mchai.
Khi