Ufafanuzi msingi wa chaji katika Kiswahili

: chaji1chaji2chaji3

chaji1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    tia au ongeza nguvu betri.

Asili

Kng

Matamshi

chaji

/t∫aʄi/

Ufafanuzi msingi wa chaji katika Kiswahili

: chaji1chaji2chaji3

chaji2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    fungulia mtu mashtaka; fikisha mtu mahakamani.

Asili

Kng

Matamshi

chaji

/t∫aʄi/

Ufafanuzi msingi wa chaji katika Kiswahili

: chaji1chaji2chaji3

chaji3

nominoPlural chaji

  • 1

    nguvu zinazotokana na umeme au betri.

Asili

Kng

Matamshi

chaji

/t∫aʄi/