Ufafanuzi msingi wa chakacha katika Kiswahili

: chakacha1chakacha2chakacha3

chakacha1

kitenzi sielekezi

 • 1

  vunjavunja.

  ponda, twanga

 • 2

  fanya sauti kama majani makavu yanapokanyagwa.

Matamshi

chakacha

/t∫akat∫a/

Ufafanuzi msingi wa chakacha katika Kiswahili

: chakacha1chakacha2chakacha3

chakacha2

nomino

 • 1

  tambuu iliyonyauka; majani yaliyokauka.

Matamshi

chakacha

/t∫akat∫a/

Ufafanuzi msingi wa chakacha katika Kiswahili

: chakacha1chakacha2chakacha3

chakacha3

nomino

 • 1

  ngoma inayoambatana na nyimbo zenye mahadhi ya taarabu ambayo huchezwa na wanawake katika Pwani ya Afrika Mashariki.

Matamshi

chakacha

/t∫akat∫a/