Ufafanuzi wa chakapu katika Kiswahili

chakapu

nominoPlural chakapu

  • 1

    mnyama asiyefugwa anayefanana na paka; pakamwitu.

Matamshi

chakapu

/t∫akapu/