Ufafanuzi msingi wa chakaramu katika Kiswahili

: chakaramu1chakaramu2

chakaramu1

nominoPlural chakaramu

  • 1

    mtu mwenye wazimu; mtu mwenye utundu.

    chizi

Matamshi

chakaramu

/t∫akaramu/

Ufafanuzi msingi wa chakaramu katika Kiswahili

: chakaramu1chakaramu2

chakaramu2

kivumishi

  • 1

    -enye wazimu; -enye utundu; -enye upotevu; -enye kichaa.

Asili

Khi

Matamshi

chakaramu

/t∫akaramu/