Ufafanuzi msingi wa chakari katika Kiswahili

: chakari1chakari2

chakari1

nominoPlural chakari

 • 1

  mtu aliyeajiriwa na magereza ili kunyonga watu waliohukumiwa kifo.

Matamshi

chakari

/t∫akari/

Ufafanuzi msingi wa chakari katika Kiswahili

: chakari1chakari2

chakari2

kielezi

 • 1

  zaidi ya kawaida; kupindukia.

  ‘Usingizi umemjaa chakari’
  ‘Amelewa chakari’
  chopi, tele

Asili

Khi

Matamshi

chakari

/t∫akari/