Ufafanuzi wa chakarisha katika Kiswahili

chakarisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

 • 1

  tikisa majani.

 • 2

  shtua kwa kuliza kitu.

  gugurusha

 • 3

  bumburusha kitu kilichotulia majanini.

  gutusha

Matamshi

chakarisha

/t∫akari∫a/