Ufafanuzi msingi wa chaki katika Kiswahili

: chaki1chaki2

chaki1

nominoPlural chaki

  • 1

    kitu namna ya kalamu ya udongo mwororo, agh. cheupe, kinachotumiwa kuandikia ubaoni.

Asili

Kng

Matamshi

chaki

/t∫aki/

Ufafanuzi msingi wa chaki katika Kiswahili

: chaki1chaki2

chaki2

nominoPlural chaki

  • 1

    mdudu jamii ya chungu, mchwa na majimoto anayeuma.

Matamshi

chaki

/t∫aki/