Ufafanuzi msingi wa chale katika Kiswahili

: chale1chale2chale3chale4

chale1

nomino

 • 1

  aina ya samaki wa baharini.

Matamshi

chale

/t∫alɛ/

Ufafanuzi msingi wa chale katika Kiswahili

: chale1chale2chale3chale4

chale2

nomino

 • 1

  mtu anayefanya vitendo vya kuchekesha.

Asili

Kng

Matamshi

chale

/t∫alɛ/

Ufafanuzi msingi wa chale katika Kiswahili

: chale1chale2chale3chale4

chale3

nomino

 • 1

  mdudu mdogo sana mwenye sumu kali aishiye baharini.

Matamshi

chale

/t∫alɛ/

Ufafanuzi msingi wa chale katika Kiswahili

: chale1chale2chale3chale4

chale4

nomino

 • 1

  mkato au alama ya kuchanjwa, agh. juu ya mwili wa binadamu.

  gema, nembo, taruma, tojo

Matamshi

chale

/nm/