Ufafanuzi msingi wa chali katika Kiswahili

: chali1chali2

chali1 , kichalichali

kielezi

  • 1

    kwa mgongo kuwa chini, tumbo na kifua juu.

    kingalingali, tani

Matamshi

chali

/t∫ali/

Ufafanuzi msingi wa chali katika Kiswahili

: chali1chali2

chali2

nominoPlural machali

Matamshi

chali

/t∫ali/