Ufafanuzi wa chama katika Kiswahili

chama

nominoPlural vyama

  • 1

    kikundi cha watu walioungana pamoja kwa lengo la kutekeleza matakwa yao ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, n.k..

  • 2

    jumuia

Matamshi

chama

/t∫ama/