Ufafanuzi msingi wa chamba katika Kiswahili

: chamba1chamba2

chamba1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~ana, ~iana, ~iwa, ~wa

  • 1

    osha utupu baada ya kwenda chooni.

Matamshi

chamba

/t∫amba/

Ufafanuzi msingi wa chamba katika Kiswahili

: chamba1chamba2

chamba2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~ana, ~iana, ~iwa, ~wa

  • 1

    toa maneno mabaya.

    tukana, shambulia, tusi, sibabi, subu

Matamshi

chamba

/t∫amba/