Ufafanuzi wa chambi katika Kiswahili

chambi

nomino

  • 1

    msogeleo au mguso kwa tumbo au kwa sehemu ya mbele ya mwili, agh. katika ngoma za jadi.

    ‘Pana chambi’
    mchobeo

Matamshi

chambi

/t∫ambi/