Ufafanuzi wa chambo katika Kiswahili

chambo

nominoPlural vyambo

  • 1

    kitu, agh. mdudu, nyama, n.k. kinachowekwa katika ndoana au mtego ili samaki au wanyama wakile na wanaswe.

  • 2

    kitu au mtu anayefanywa kuwa ndiye sababu au njia ya kupatia haja.

Matamshi

chambo

/t∫ambɔ/