Ufafanuzi wa chamchela katika Kiswahili

chamchela

nominoPlural chamchela

  • 1

    upepo mkali unaovuma na kuleta maafa.

    ‘Pepo za chamchela pepo zinazozungukazunguka’
    kimbunga

  • 2

    mahali ambapo watu hawakai karibu napo kwa kuamini kwamba pana pepo k.v. mashetani au majini.

Matamshi

chamchela

/t∫amt∫ɛla/