Ufafanuzi wa chamka katika Kiswahili

chamka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    rudia kwa kutokea zaidi ya mara moja kwa ugonjwa.

  • 2

    enea k.v. ugonjwa, maumivu au kidonda.

  • 3

    tapanya, fumka

Matamshi

chamka

/t∫amka/